PICHA ZA NDOA YA ANTI EZEKIEL

Unknown | 1:29 AM | 0 comments

Alf Alf Mabrook Rahma & Demonte

Mr & Mrs Demonte katika pose wakati wa reception yao
 Mrs Rahma Demonte katika pose mara baada ya kufunga ndoa
Mrs Demonte akiwa katika pose na Milly Almasi
Sunday & Aunty wakilisakata rhumba

New couple in town
Aunty akiwa na mume wake na wapambe wao. Mashallah

JG Blog inapendakuwatakia Rahma na Demonte kila la kheri katika ndoa yao na mibaraka tele kutoka kwa Mwenyezi Mungu.

Poleni kwa quality mbaya ya picha tukipata nzuri tutawarushia hapa live. Enjoy

USHER AMFUKUZA ALIYEKUA MKE WAKE AKTIKA NYUMBA HII

Unknown | 1:27 AM | 0 comments


Usher’s getting his way (again)…and, while a source reported that his Tameka’s house had been listed, the reporter didn’t have snapshots of what his estranged-ex was being forced to roll out on.
The 12,544 square-foot pad was bought for $3 mill back in 2007 and it boasts 6 bedrooms, 7 baths, 10-foot ceilings, massive pool, in-home gym, 4 fireplaces, a library, and more.
Hit the flip for more shots of their spacious crib…

Shame ha! Bad & sad relationship ending damnnnn

HAMMY B AONGEA LA MOYO KUHUSU MA PRODUCER WENZAKE HAPA BONGO

Unknown | 1:21 AM | 0 comments

 Producer mkali anaye aminika kwenye tasnia ya mziki hapa Bongo almaarufu kama Hammy b ambaye alishatengeneza ngoma kali kama ya AY na FA ,Habari ndio hiyo, Nangoja Ageuke na ngoma nyingine kali kutoka hapo hapo B hits sasa
Latest info kutoka kwa Hammy B ni kwamba baada ya kupiga naye story za hapa na pale kuhusiana na game la hapa Tzee aliweza kufunga na kusema kwamba tatizo kubwa linalofanya muziki wetu kukwama ni ma producer kwani alieleza kwamba ma producer wengi wa hapa bongo hawana ushirikiano katika kazi ila wengi wanakuwa katika issue za kuchukiana alisema kama wangekuwa katika ushirikiano basi wewe mtanzania ungeona jinsi kazi za muziki hapa Bongo zinafanya vizuri.Huo ndiyo ujumbe kutoka kwa hammy B je wewe kama mtanzania una maoni gani.

Ndauka ajitetea kwa kirefu

Unknown | 3:11 AM | 0 comments




MWIGIZAJI na mtayarishaji wa filamu Swahiliwood, Rose Ndauka amekanusha kuhusu madai kuwa amekuwa akiitisha usahili kwa wasanii Chipukizi na kuwachukulia fedha bila kuwashirikisha katika filamu zake.

Rose amekanusha shutuma hizo baada ya wasanii ambao waliwahi kufika katika ofisi za mwanadada huyo kushiriki katika usahili na kunyimwa nafasi.

�Jamani si rahisi kuchukua kila mtu anayeshiriki katika usahili inawezekana kweli akawa na sifa lakini wasanii wa aina hiyo wakawa wengi hapo linakuja suala la bahati ya mtu, hata wale wenye sifa majina yao yanahifadhiwa kampuni inapohitaji wasanii wengine wale ndio wanaopewa nafasi ya kwanza na si vinginevyo,� anasema Rose.

Siku za nyuma baadhi ya wasanii chipukizi walilalamika kuwa Rose amekuwa akifanya usahili kwa lengo la kujipatia fedha kwani mara nyingi baada ya usahili kufanyika wasanii ambao uwapanafasi ya kuigiza uwa ndugu zake na rafiki zake wa karibu na si walioshinda katika usaili, jambo lililomepingwa na Rose Ndauka.

STORI KUHUSU MECHI YA TAIFA STARS NA HARAMBEE NOV 14 2012 MWANZA.

Unknown | 3:10 AM | 0 comments
 http://millardayo.com/wp-content/uploads/2012/11/Taifa-stars-800x546.jpg

Time hii nimeitumia kujiunga na bongostaz.blogspot.com kwa ajili ya stori waliyoripoti kwamba timu ya soka ya taifa ya Tanzania Taifa Stars imeifunga Kenya (Harambee Stars) kwa goli 1-0 kwenye Uwanja wa CCM Kirumba Mwanza novemba 14 2012 katika mchezo wa kirafiki uliopo pia katika kalenda ya Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA).
Hadi mapumziko Stars ilikuwa mbele kwa bao 1-0 lililofungwa na Aggrey Morris katika dakika ya nne baada ya kupanda kusaidia mashambulizi ambapo katika mechi hiyo iliyochezeshwa na refa anayetambuliwa na FIFA Oden Mbaga, Kenya walitawala dakika 10 za mwanzo, lakini baada ya hapo Stars wakafunguka nao na kuanza kula nao sahani moja.
Kipindi cha pili Kenya walianza na mabadiliko huku kocha Henri Michael akiwapumzisha James Situma, Jerry Santo na Wesley Kemboi na kuwaingiza Christopher Wekesa, Anthony Akumu na Timbe Ayoub.
Pamoja na mabadiliko hayo mambo yaliendelea kuwa magumu kwa Harambee Stars kwa sababu wenyeji waliendelea kucheza kwa makini wakishambulia na kujilinda zaidi huku kocha wa Stars Mdemnark Kim Poulsen akiwatoa Amir Maftah, Salum Abubakar, Mwinyi Kazimoto, Mbwana Samatta, Mrisho Ngassa na Thomas Ulimwengu na kuwaingiza Nassor Masoud ‘Chollo’, Amri Kiemba, Simon Msuva, John Bocco ‘Adebayor’, Shaaban Nditi na Issa Rashid.
Katika mchezo huo, mshambuliaji wa Kenya anayechezea AJ Auxerre ya Ufaransa alifichwa kabisa na mabeki wa Stars.
Baada ya mchezo huo, kocha wa Harambee, Mfaransa Michel alionyesha kukerwa na matokeo hayo na kusema timu yake haikucheza vizuri, wakati Polusen, amefurahia ushindi huo akisema timu yake haijacheza kwa miezi miwili na baada ya siku mbili za mazoezi wameifunga Kenya.
Taifa Stars; Juma Kaseja, Shomari Kapombe, Amir Maftah/Nassor Masoud ‘Chollo’ dk70, Aggrey Morris, Kevin Yondan, Frank Domayo, Salum Abubakar/Amri Kiemba dk69, Mwinyi Kazimoto/Simon Msuva dk69, Mbwana Samatta/John Bocco dk 84, Mrisho Ngassa/Shaaban Nditi dk72 na Thomas Ulimwengu/Issa Rashid dk 89.
Harambee Stars; Frederick Onyango, Brian Mandela, Eugene Asike, James Situma/Christopher Wekesa dk 46, Edwin Wafula, Jerry Santo/Anthony Akumu dk 46, Peter Opiyo/Charles Okwemba dk 67, Patrick Obuya, Patrick Osaika/Mulienge Ndeto dk 73, Dennis Oliech na Wesley Kemboi/Timbe Ayoub dk 46.

DIAMOND KAANDIKA KWENYE WEBSITE YAKE, KILICHOSABABISHA AJALI YAKE NI HIKI.

Unknown | 3:09 AM | 0 comments



.

.

HII NDIO LIST ILIYOVUJA YA MISHAHARA WANAYOLIPWA WACHEZAJI WA MANCHESTER CITY

Unknown | 3:08 AM | 0 comments




.
 
Support : Emmanuel Hilonga | Gody Godwin
Copyright © 2011. unknown - All Rights Reserved
Template Modify by Eddie Sucre
Proudly powered by Blogger