Home » » HAMMY B AONGEA LA MOYO KUHUSU MA PRODUCER WENZAKE HAPA BONGO

HAMMY B AONGEA LA MOYO KUHUSU MA PRODUCER WENZAKE HAPA BONGO

Unknown | 1:21 AM | 0 comments

 Producer mkali anaye aminika kwenye tasnia ya mziki hapa Bongo almaarufu kama Hammy b ambaye alishatengeneza ngoma kali kama ya AY na FA ,Habari ndio hiyo, Nangoja Ageuke na ngoma nyingine kali kutoka hapo hapo B hits sasa
Latest info kutoka kwa Hammy B ni kwamba baada ya kupiga naye story za hapa na pale kuhusiana na game la hapa Tzee aliweza kufunga na kusema kwamba tatizo kubwa linalofanya muziki wetu kukwama ni ma producer kwani alieleza kwamba ma producer wengi wa hapa bongo hawana ushirikiano katika kazi ila wengi wanakuwa katika issue za kuchukiana alisema kama wangekuwa katika ushirikiano basi wewe mtanzania ungeona jinsi kazi za muziki hapa Bongo zinafanya vizuri.Huo ndiyo ujumbe kutoka kwa hammy B je wewe kama mtanzania una maoni gani.
Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
Support : Emmanuel Hilonga | Gody Godwin
Copyright © 2011. unknown - All Rights Reserved
Template Modify by Eddie Sucre
Proudly powered by Blogger