Alf Alf Mabrook Rahma & Demonte
Mr & Mrs Demonte katika pose wakati wa reception yao
Mrs Rahma Demonte katika pose mara baada ya kufunga ndoa
Mrs Demonte akiwa katika pose na Milly Almasi
Sunday & Aunty wakilisakata rhumba
New couple in town
Aunty akiwa na mume wake na wapambe wao. Mashallah
JG Blog inapendakuwatakia Rahma na Demonte kila la kheri katika ndoa yao na mibaraka tele kutoka kwa Mwenyezi
USHER AMFUKUZA ALIYEKUA MKE WAKE AKTIKA NYUMBA HII
Unknown | 1:27 AM | 0
comments

Usher’s getting his way (again)…and, while a source reported that his Tameka’s house had been listed, the reporter didn’t have snapshots of what his estranged-ex was being forced to roll out on.
The
12,544 square-foot pad was bought for $3 mill back in 2007 and it
boasts 6 bedrooms, 7 baths, 10-foot ceilings, massive pool, in-home gym,
4 fireplaces, a library, and more.
Hit the flip for more shots of their spacious crib
Labels:
MAMTONI
HAMMY B AONGEA LA MOYO KUHUSU MA PRODUCER WENZAKE HAPA BONGO
Unknown | 1:21 AM | 0
comments
Producer mkali anaye aminika kwenye tasnia ya mziki hapa Bongo almaarufu kama Hammy b ambaye alishatengeneza ngoma kali kama ya AY na FA ,Habari ndio hiyo, Nangoja Ageuke na ngoma nyingine kali kutoka hapo hapo B hits sasa
Latest info kutoka kwa Hammy B ni kwamba baada ya kupiga naye story za hapa na pale kuhusiana na game la hapa Tzee aliweza
kufunga na kusema kwamba tatizo kubwa linalofanya muziki wetu kukwama
ni ma producer kwan
Labels:
burudani
Ndauka ajitetea kwa kirefu
Unknown | 3:11 AM | 0
comments
MWIGIZAJI na mtayarishaji wa filamu Swahiliwood, Rose Ndauka amekanusha kuhusu madai kuwa amekuwa akiitisha usahili kwa wasanii Chipukizi na kuwachukulia fedha bila kuwashirikisha katika filamu zake. Rose amekanusha shutuma hizo baada ya wasanii ambao waliwahi kufika katika ofisi za mwanadada huyo kushiriki katika usahili na kunyimwa nafasi. �Jamani si rahisi kuchukua kila mtu anayeshiriki katika usahili inawezekana kweli akawa na sifa laki
STORI KUHUSU MECHI YA TAIFA STARS NA HARAMBEE NOV 14 2012 MWANZA.
Unknown | 3:10 AM | 0
comments
Time hii nimeitumia kujiunga na
bongostaz.blogspot.com kwa ajili ya stori waliyoripoti kwamba timu ya
soka ya taifa ya Tanzania Taifa Stars imeifunga Kenya (Harambee Stars)
kwa goli 1-0 kwenye Uwanja wa CCM Kirumba Mwanza novemba 14 2012 katika
mchezo wa kirafiki uliopo pia katika kalenda ya Shirikisho la Soka la
Kimataifa (FIFA).
Hadi mapumziko Stars ilikuwa
mbele kwa bao 1-0 lililofungwa na Aggrey Morris katika dakika ya nne
ba
Labels:
michezo
DIAMOND KAANDIKA KWENYE WEBSITE YAKE, KILICHOSABABISHA AJALI YAKE NI HIKI.
Unknown | 3:09 AM | 0
comments
Labels:
kitaifa
HII NDIO LIST ILIYOVUJA YA MISHAHARA WANAYOLIPWA WACHEZAJI WA MANCHESTER CITY
Unknown | 3:08 AM | 0
comments
Labels:
michezo
Subscribe to:
Posts (Atom)